Wednesday, August 19, 2009

HAYA NDIYO MAVUNO YA MILWAKEE BUCKS.



Sonny Weems moja ya vifaa vipya kabisa vya timu ya Milwakee bucks anacheza katika nafazi ya mlinzi wa mbele.



Roko Ukic anayetokea timu ya Toronto anachezea nafasi ya ulinzi


Mavuno mengine ya Milwakee Carlos Delfino ambaye anacheza katika nafasi ya ulinzi wa mbele.

Monday, August 17, 2009

SI VIBAYA KUIGA WALICHOFANYA WALIOKUTANGULIA.



LeBron James akifunga kwa kutumia mkono mmoja pozi ambalo linaloitwa Jordanesque pozi hili lunaweza liita pia tomahawk jam.

MIKIKI MIKIKI YA NBA 2009 INAANZIA HAPA.



Nate Robinson,mwenye urefu wa futi 5 na ichi 9,akidunk mbele ya Dwight Howard mwenye urefu wa futi 6 na inchi 11 wakati wa mshindano ya Slum dunk ya mwaka 2009.


LeBron James akionesha ujuzi wake kabla ya masindano ya Slam Dunk ya mwaka 2010 ambayo tayari amekwishatangaza kwamba huenda akashiriki.

BEST BLOCKS 2008/09



Dwight Howard, ambaye amemaliza msimu ulipita wa ligi ya NBA akiwa na idadi ya block 231,kama anavyoonekana pichani akimfuta mtupo wa Paul Pierce.

GASOL KUREJEA UWANJANI BAADA YA WIKI 3



Kwa mujibu wa msemaji wa Los Angeles Lakers John Black, mchezaji wa timu hiyo Pau Gasol aliyefanyiwa upausuaji wa kidole cha mkono wake wa kushoto huko nchini Hispania.

Gasol anatarajiwa kurudi uwanjani baada ya wiki tatu,wakati ambao ataichezea timu yake ya taifa katika mashindano ya mpira wa kikapu barani ualaya.

Hata hivyo timu ya Lakers inataraji kuendelea kutoa habari juu ya hali ya mchezaji huyo kurejea uwanjani katika muda wa wiki tatu.